Thursday 9 August 2007

Simple Outfit Matching!








Hayo ndio nimeona ndio mapigo simple sana kumatchisha warembo ukiwa unataka kutoka nyoko na ukiwa confortable pindi unapojivika stock hizo...kama uonavyo tukianzia juu nimekuwekea kuanzia hiyo White gathered grab bag,White Watch,BKE Rhinestone Stud Earring,Extra Long Beaded Necklace,Thermal Top,Orange flower print skirt na hivyo viatu simple ukimalizia chini.....

3 comments:

Anonymous said...

Sasa hayo mapigo tutayapataje? ushafungua duka lako la stock bongo? Tunaomba utujulishe au tutakupataje hapo dar kwa ajili ya kuagiza na inachukua muda gani kupata?

Sheria Ngowi. said...

anon hapo juu nashukuru sana kwa kutembelea blogu hii...swala la kufungua duka pale bongo iko kwenye process za mwishoni stay tune utakapoona tangazo kwenye blogu hii ujue kimeshaita bongo....kwa mawasiliano nitumie email through sheria.ngowi@gmail.com..karibu sana

DERRICK MUSHOBOZI said...

I love the color of the skirt and the shoes the really luk nice the whole outfit has a taste on it.