Wednesday, 26 September 2007

African Fabrics In Fashion World!





Siku zote nilikuwa naona kwamba aina mbalimbali ya African Fabrics zinafaa sana sana kwenye ulimwengu wa Fashion & Style kwakuwa material na sanaa inayotumika katika utengenezaji wa vitambaa hii vinakuwaga na mvuto wa hali juu kuanzia kwenye rangi,michoro na hata quality ya material yenyewe...ok basi nisiende mbali ila nilitaka muone ni jinsi gani style za nguo zinazotengenezwa ulaya zinapokwa zimewekwa kwenye material za kiafrika zinakuwaga kama uonavyo pichani....picha kutoka finishing touches....

1 comment:

Anonymous said...

thank you sheria for showing my designs...for more inspirations visit www.youngtanzaniafashion.blogspot.com keep up the good work by the way!!