Black striped city shorts hayo wachuchu..nadhani hapo mapigo yatawapagawisha kinoma kutokana na stock nzima kuwa imekamilika vilivyo...tukianzia chini nimeona nikudunge Sole Mollie Shoe,hiyo Black striped city shorts,White grain stitch detail shirt,Light green v neck cashmere jumper,Sterling silver mother of pearl drop earrings and necklace set na kukumalizia na stock mpya kabisa ya huo unyunyu (perfume) elizabeth ardane.Mediterranean eau de parfum......
1 comment:
thiz one ni balaa uwii the shoez
Post a Comment