Masela hayo ndio mambo ya kulipuka mapigo simple sana kwa kujilipua kuanzia Casual Short hiyo pamoja na Punkrose Gangster Men's Shoe,Pop Icon Crinkle Shirt na kumalizia na hiyo Volcom Slider Z Sweater...ila kumbuka mapigo haya yanapendezea sana ukiwa umeyavaa wakati uko kwenye matembezi flani hivi..pia usisahau hilo sweater sio lazima ulivae ila kama hali ya hewa iko ya baridi kdg basi jitwike juu la sivyo bakia na hilo shati na utatoka bunduki vilevile..nadhani mmenisoma wakuu wangu hapo?
No comments:
Post a Comment