Thursday, 20 September 2007

Hooded Sweater






Haya warembo kwa leo nimeona niwabadilishie angalau flavor ya mavazi kidogo tofauti kama uonavyo hapo pichani nilivyokuwekea hiyo Metallic strappy pocket bag,Hooded Sweater (Front & Back),Lucky Brand Lil' Merry Stretch Jean,Madden Girl Gravity Shoe....nadhani mrembo mercy & eliza hapo nimewapatia....

No comments: