Thursday, 27 September 2007

Dark red knit v neck jumper & Pink and white striped shirt







Wakuu embu jaribuni kuthaminisha hiyo stock hapo pichani maanake nimeona niwawekea kuanzia juu...lacoste Essential fragrance,Dark red knit v neck jumper,Pink and white striped shirt,Ivory linen trousers na kumalizia na hiyo Tommy Hilfiger brown lthr....mkuu wangu franky wa pune upo?

No comments: