If It Was U......?
Wadau zangu naomba mniambie kama ingekuwa wewe ndio Usher sasa..halafu ukapewa chanceya kuchague kuvaa nguo ambazo usher amevaa katika hizo picha 3 ...je wewe ungechagua kuvaa nguo gani kati ya hizo?Vilevile hata warembo mnaruhusiwa kuchagua hapo pichani ni nguo gani kati ya hizo alizovaa usher pichani alitoka fresh sana?
3 comments:
well mi naona iyo pic ya kati ametoka pina full white au vp
i prefer my man to wear the third outfit, its not casual or to up tight, however it depend with the function...
hee! that with black velvet bleza n jeans ohh kaharibu vibaya sna kakimbiza sanaaaa
Post a Comment