Saturday, 22 September 2007

Kensie Girl Dress






Mhh mimi hapo sina la kusema warembo kwa leo ila nimeona niwadunge Kensie Girl Dress hiyo pamoja kuanzia chini nimewawekea Black Patent,Chunky Chain Necklace,BKE Teardrop Earring na kumalizia na hiyo Metallic Wallet inavyoonekana kuanzia nje mpaka ndani...

No comments: