Saturday, 22 September 2007

Men's PS fitted shirt in a regular fit with a single cuff and pointed collar & Argyle Scarf....







Haya masela wangu...leo nimewapa mambo ya Oldies kwenye stock hizo pichani..nadhani kwa wale wapenzi wa kujilipua na mapigo simple na kutoka unique basi nadhani stock hii itakuwa imewakuna barabara...basi tukianzia hapo chini nimekuwekea hiyo Clarks Taupe Distressed,Guess Caliber Coda Jean,Distressed Belt,Men's PS fitted shirt in a regular fit with a single cuff and pointed collar,Argyle Scarf & Fantas Eyes Knievel Sunglasses....

1 comment:

Anonymous said...

simple,elegant,fab,jamani mwanaume akivaa hivi lazima uende mbio sio utakuta mwanaume hilo jeans ni bagiii sijui shati limepindia wapi sheria asante kwa tips wacha niwahi mie nimpendezeshe wa kwangu