Light blue argyle & polo 2 piece set + white white adidas....
Haya haya masela mambo ya leo nadhani mtanikubali kwa kuwawekea mambo ya oldschool kidogo na kuleta mvuto sana...hapo nimeweka Light blue argyle & polo 2 piece set,Blue light weight loose fit jeans na kumalizia na hyo adidas white white.....nash upo hapo?
1 comment:
this is some nice outfit u got here. especially hicho kiatu! duu... real classic hip hop
Post a Comment