Friday, 28 September 2007

Mambo Vertical Stripe Scarf Hayo?





Vertical Stripe Scarf ndio mtoko wa leo nimeona niwadunge wadau zangu na masela wa blogu hii popote pale mlipo..mkae mkijua scarf kwasasa ni bonge moja la style ukivalia wakati wa baridi hivi ukiwa umetoka out flani...hapo juu nadhani mmeona hyo Vertical Stripe Scarf,Contour Shirt,Fossil Justin Belt,MEK Easter Island Jean na kumalizia na hiyo Clarks sand suede...mdau wng papa jr upo hapo?

No comments: