Friday, 28 September 2007

Mambo Ya Scarf....







Haya warembo nimeona niwawekea mapigo hayo motomoto kuanzia hapo juu niwadunge kuanzia Large Tote,Scarf,Crinkle Tank,Star 18 Stretch Jean na kumalizia na hiyo orange plaid

No comments: