Thursday 6 September 2007

Mambo Ya Red & White!







Warembo leo nimeona niwape mchakato wa mavazi yaliyokuwa yamechanganywa kwa rangi tofauti..kama pichani taona mixer hiyo kuanzia White,Red & Black...basi kuanzia down nimekuwekee kuanzia Not Rated Dot Me In Shoe,Lucky Brand Dixie Bermuda Short,Daytrip Textured Shirt,Quilted Belt na kumalizia na hiyo Quilted Tote....unaonaje mrembo Totoo stock hiyo?

1 comment:

Anonymous said...

nimeikubali wanguuu..iyo ikivalia lazma wenye njaa miudenda iwatoke..haah..ni nomaaa...kaza buti wangu..