
Hayo ndio mambo ya suspendez warembo...hiyo style now imerudi kwenye fashion kwa kasi sana na unawza kuvalia kuanzia suruali,jeans na hata vikaptula...hapo mimi nimeona niwape hiyo stock hiyo kuanzia Bi-color satin pumps,Black trousers,Black crinkled trim shirt with frill,Red Suspendes na Red portfolio shoulder bag.....mnaonaje stock hiyo warembo?




1 comment:
Wow..sheria naona leo umeweka stock ambayo ni kama "your style" na nimeipenda even though i never weard it before..keep ur good job...it's candy1 bak in da house
Post a Comment