Saturday 8 September 2007

Mrembo Totoo!

Wadau wa Blog yenu hii nimeona leo nisiwaache hivihivi bila kwadunga picha ya mdau wangu mkubwa ambaye pia ni bonge la mshikaji anayekwenda kwa jina la a.k.a Totoo akiwa katika pozi moja matat sana la kimodel huko mamtoni...Totoo hongera sana kwa stock hii machachari sana na umetoka nyoko bovu...safi sana...

4 comments:

Anonymous said...

hahahah...wangu umenifagiliaa..hahah...shanana au sio..nashukuru sana..sasa km vp wakitoa no.ucnibanie haha..am kiddin...gud job..1

Anonymous said...

msichana mzuri sana
mr fashion police tungependelea uendelee na tabia hiohio ya kusapoti warembo wakwetu nadhani hata ""macheckibobu"" kama models wako sio mbaya

Anonymous said...

mmmmmh!! sasa ndo ushkaji gani huu? nshachoshwa mie.. lol. Safi mwakwetu, represent.

Anonymous said...

amini totoo aka mama wa funika bovu totoo la kimasai from kisongo village wawaaaa... usome pia mama ili kwenye modeling kukikushinda uingie ofisini sawaaa....Nyaki