Saturday 8 September 2007

Split Geo Bag






Split Geo Bag hizo warembo...kama kawaida yangu nitakuwa nawapa latest stock warembo za kulipuka nazo kama muonavyo pichani...sasa basi kuanzia chini baada ya huo mchuchumio nimekuwekea hiyo Miss Me Knee Short,Lace Strap Tank,Blue marbled bead with flowers necklace,A.J. Morgan Swan Lake Sunglasses...warembo mpo hapo?

1 comment:

Anonymous said...

tupooooooooo..ila hayo mambo makubwaa wanguu..dahh c kitoto mana kiatu kimeenda shule mi nakufaa na pochi yangu iliyotooboka tabu tupu?nabaki kula kwa macho hahah.....saaafiii lkn...