Saturday 8 September 2007

White Navy Stripe Canvas...!



White Navy Stripe Canvas hiyo wakurugenzi wangu...mtaona nimewawekea huo mguu kwakuwa kwa wale wanaojua fashion & style watakuwa wamenikubali vibaya sana...hapo nimewawekea na hiyo Lucky Brand Social Jean,Affliction Lion Thermal Shirt na hiyo Robinson Sunglasses.....

No comments: