Monday, 17 September 2007

Ubunifu...!

Siku zote katika swala zima la ubunifu wa aina mbalimbali basi ukae ukijua ya kwamba ubunifu wa vazi la kimasai lnamvuto wa aina yake...tukianzia mpangilio wa rangi zake,uvaaji wa mapambo kuanzia shingoni nk.Embu wadau wa blogu hii embu tazama vazi hilo linavyoweza kuvaliwa au kubuniwa kwa style mbalimbali kama mrembo na mdau wangu mkubwa wa blog hii Totoz alivyojipigilia pichani...inapendeza na kuvutia sana....safi sana

2 comments:

Faith S Hilary said...

She luks cute

Anonymous said...

hahah..tukisema vazi lakimasai liwe lakitaifa mtaona wamasai tunajipendelea haya.mie simoo..wambie mwenyewe labda watakusikiliza..safii sana..
nadumisha mila ile wengine ishashindwa..MI MMASAI BANA!!SHIIE