KP CLOTHING BRAND!
Hayo ndio mambo ya Masoud wa Kipanya akiwa katika ufunguzi wa brand ya mavazi inayokwenda kwa jina la KP..kusema ukweli napenda kumpa hongera sana Masoud..Na duka lake linapatikana ndani ya Millenium Tower pale Kijotonyama....Big Up sana Masoud
No comments:
Post a Comment