Friday, 19 October 2007

Grey luxury Italian tweed wool double breasted coat & Nero Calf Leather Boot!






Wakuu kama kawaida yetu sisi nikupiga mapigo makali ili tuweze kukandamiza popote tunapopata chance ya mtoko...kama kawaida hapo nimewawekea Grey luxury Italian tweed wool double breasted coat,Navy & blue lambs wool argyle knit jumper,White stripe shirt and tie,Black smart trousers na kumalizia na hizo Nero Calf Leather Boot..Papa Junior upo hapo?

No comments: