
Mimi hapo sina la kusema ila yenu macho wakurugenzi wangu mchague katika mapigo nayowawekea ni ipi iko juu zaidi..basi kama kawaida hapo nimewadunga kwanza hiyo Light Blue Geo Roll Shirt,Fossil Textured Blue Watch,OBEY Military Cap,Silver Grayson Jean & Adidas Navy White..
No comments:
Post a Comment