Thursday, 25 October 2007

R.I.P MH.SALOME MBATIA!
Kwa niaba ya Blog hii ningependa kuungana na wadau wote katika kuomboleza kifo cha aliekuwa Naibu Waziri wa Wanawake na Watoto, Mheshimiwa Salome Mbatia.Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema.AMEN.

No comments: