Sunday, 28 October 2007

Mambo Ya Scarf & Vintage Cap!

Kama kawaida ya mapigo nayowakilisha ndani ya blog yetu hii kuna baadhi ya warembo na wadau zangu wanajipigilia sawa sawa.Kama mrembo pichani anayekwenda kwa jina la shani alivyolipuka na kutoka safi..Keep it Up!

4 comments:

Anonymous said...

Punguzu minyama uzembe hiyo

Anonymous said...

tehetehe, acha wivu,dada wa watu kapendeza,waswahili bwana mtakufa na kijiba cha roho,hizo nyama za u zembe umezionaje mbona si hatuzioni

Anonymous said...

hivi kwanini binadamu hamtaki kukubali mwezenu akipendeza yaani mpaka mtoe kasoro,roho mbaya kama nyie wenyewe!

Anonymous said...

wewe mtu unayesema minyama uzembe. embu tuone picha zako zilivyo!siajabu minyama ya uzembe imekujaa mpaka inataka kudodoka. embu shut up acha roho ya korosho.dada kapendeza na ni mzuri usijilinganishe nae.