Wednesday, 24 October 2007

OBEY Flying Tiger T-Shirt & natural converse!





Haya wakuu wangu mambo ndio kama hivyo kw wale wapenzi wa Simple style mapigo ndio hayo...kuanzia down Natural Converse,MEK Easter Island Jean,Leather Belt,OBEY Flying Tiger T-Shirt mkuu wangu Devi upo hapo?

2 comments:

Kishazi said...

kakhapo umenipata maana sisi ma ras ndio mapigo yetu hapo saaana tu thx ila mwana mambo yametulia sana big up saaana Tupo pamoja

Kishazi said...

kaka nimekubali Kweli umedhaniria kufanya kazi Big up kaka