Sunday, 21 October 2007

Orange linen 50's dress..!





Orange linen 50's dress hiyo warembo ....hapo nikiwa nimekudunga pamoja na BKE Double Layer Necklace,Candice Quilted Tote,na mchuchumio huo mkali mweupe...nadhani mmenisoma apo warembo kwa stock hiyo ya leo

1 comment:

Faith S Hilary said...

I like the design on the shoes...very unique