
Haya warembo wa blog hii..kama kawaida nawapaga stock za maana na nadhani mpo pamoja na mimi kila siku..basi kabla ya yote nianze kwa kuwapa gwaride la utambulisho stock picha...nikianzia chini nimewapa kuanzia Madden Girl Marrch Shoe,Sleeveless maxi dress,Square Sunglasses,Leopard Print Wallet & Kensie Cuff Watch...
No comments:
Post a Comment