Tuesday, 6 November 2007

Black flower print skirt & Pointelle Tank!








Haya warembo kama kawaida nimeona kimya kimezidi kwahiyo nimerudi tena wa kishindo kinono sana kwa kuwapatia stock kama hizo pichani ambazo ni simple sana kulipuka nazo..kama kawaida kuanzia chini nimekuwekea hizo Yellow Sandal,Black flower print skirt,Pointelle Tank,Closine Bead Necklace,A.J. Morgan Royalty Sunglasses,Braided Hoop Earring & Doctor's Bag....Mpo hapo warembo?

No comments: