Tuesday, 6 November 2007

Light green linen trousers & White stripe shirt!





Haya wakurugenzi kama kawaida mapigo ya leo ni simple sana na ni ya uhakika hasahasa kwa wale walioko sehemu ambazo season ya pupwe imeanza basi huna buti kuweka na hiyo Scarf na kwa wale wako kwenye season ya joto unaweza ukaacha kutumia Scarf..basi kuanzia chini nimekuwekea hiyo White Leather Sandal,Light green linen trousers,White stripe shirt,Grey luxury hand knit cable scarf and Block Isla Plaid Ivy Cap

No comments: