Friday, 30 November 2007

Mtoko Simple..





Hayo ndio mapigo ya kudungunyuka na mapigo simple na kutoka bunduki..kama kawaida nimekuwekea hiyo Driving Shoe,Linen Trouser,Informal Shirt,Ray Ben Sunglasses...Mpo hapo?

1 comment:

Kishazi said...

duuh wangu hapo umenigusa sana;hayo mapigo sio mchezo nimeyakubali itabidi niwe ha hiyo stock...Big up sana Tupo pamoja

David w.silaa