Friday, 30 November 2007

?

Wadau wa blogu hii nawaomba mjaribu kuguess huyo mdau pichani ,kwakuwa nadhani kwa wadau wengi watakuwa wanamkumbuka vizuri sana. Je huyu mdau anaitwa nani?Naomba Majibu yenu?

5 comments:

Anonymous said...

Huyu lazima atakuwa ni MASAWEE,tulishawai kuwa nae pale kiboluroni-moshi tukipiga dili za hapa na pale.

Faith S Hilary said...

Isnt that Mushobozi??...not sure but that's ma guess

Anonymous said...

Anaitwa Derick Mushobozi!Nimesoma nae Nyakahoja huyuuu

Anonymous said...

its derick mushobozi alisoma nyakahoja na kumaliza 1994 au 1995 kama sikosei

Anonymous said...

BIngwa wa kukopa huyo halafu halipi...
wanatabia za kike kike ye na ndugu yake
wanakaa na mtu ili wapate kitu
halafu hawapendani
yeye na nduguyake wa IT-Edwin