Wednesday, 5 December 2007

AFRICA WEDDING DRESSES Pt.2
A.
B.
C.
D.
E.

Haya tena warembo hayo ndio mambo ya African Wedding Dresses yanavyokuwa..na kwa wale wapenzi wa mavazi hayo kusema ukweli kwa upande wangu mimi ni yako juu sana na yametengenezwa kwa ubunifu wa hali ya juu pia...na endapo akitokea mtu akijidunga huonekana unique sana..sasa hapo warembo ungekuwa wewe ungechagua lipi kati ya hayo?

No comments: