Wednesday, 5 December 2007

WEDDING DRESSES Pt.1
A.
B.
C.
D.
E.
Hayo ndio mambo ya Wedding Dresses pichani kama nilivyoombwa niweke na mdau wangu anayekwenda kwa jina la Anne sasa nomba niwaulize warembo ingekuwa ni wewe unaolewa ungechagua gauni gani kati ya hayo?Anne unasemaje hapo nadhani nimetimiza ahadi zangu hapo.....

1 comment:

Anonymous said...

hilo c limeaa sexy nimelipenda c kipol ple
kip going kaka wa sheria na mavazi
1love