Casual!
Hayo ndio mambo ya kulipuka Casual wadau zangu...kama kawaida nadhani mzee mzima Gedion,Chiza,Deo,Dennis,Kikuli,Eddy Tazi mtakubaliana na mimi Homie.............chini nimewadunga Black Calf leather Sandal,Guess Eden Jean,BKE Wreck Belt,BKE Platinum Shirt,Scarf,Plastic Wrap Sunglasses,Chronograph Dial & Leather Strap Watch
No comments:
Post a Comment