Classic Black Outfit,kama kawaida yangu warembo nimeona leo niwape mchakato wa maana kwa pamba simple na zisizokuwa na marangi mengi...Tukianzia chini utaona nimekuwekea hiyo Black Patent,Black Cowl Neck Dress,Pearl Necklace With Bracelet,Black Sunglasses,Black Hat,Vintage Veneta's Liquirizia Black Bag...




No comments:
Post a Comment