Tuesday, 4 December 2007

Full Silver!




Hayo ndio mambo ya silver nimeona leo niwadunge full warembo na wadau zangu..tukianzia na Silver Dress Shoe,Silver Side Jewelled Bustier Dress,Chunky Bead Necklace,Silver Bag,Fossil Bling Watch...manoanaje matching hiyo?

No comments: