Mambo Ya Diamond Sweater!
Wakuu wangu naona hapo sina la kusema ila nawapa hiyo stock matata sana na imetulia kwa wengi mnaojua mapigo hayo yamekaaje..kama kawaida juu nimekuwekea Diamond Sweater,White Formal Shirt,Black Formal Trouser na Black Goatskin Lther..
No comments:
Post a Comment