Wednesday 30 January 2008

QUIZ?Je Ukitaka Kujua Kuvaa Unatakiwa Kuwa Na Nini Kati Ya Hivi Vifuatavyo?
QUIZ ya leo nataka kuwauliza Wadau Wangu Kwamba Ukitaka Kujua Kuvaa na kumatch nguo ni unatakiwa uwe na vitu gani?Basi Kujua Maoni Ukweli Tupige Kura na kujua ''Which Is Which'' na kujua ukweli ni upi kwa kuchagua kati ya Kipengele A,B,C......Vote Now!


QUIZ?Je Ukitaka Kujua Kuvaa Unatakiwa Kuwa Na Nini Kati Ya Hivi Vifuatavyo?
(a.)Je ni kuwa na Closet Kubwa Na Nguo Nyingi?
(b.)Je ni kuwa na Closet Ndogo Na Nguo Chache?
(c.)Au Vyote (a.) & (b.) Vyote ni Sawa Ili mradi uwe na choice nzuri na mpangilio mzuri wa nguo hizo!
  
Free polls from Pollhost.com

4 comments:

Anonymous said...

kujua kuvaa ni kujua kupanglia, ukiwa na nguo nyingi ni vizuri. Lakini pia unaweza kuwa na nguo chache na ukawa unatoka mchicha kuliko mwenye maguo. Labda una jeans kali sana 10, na vitop vya uhakika 25. basi wewe ni moto! mwingine anaweza kuwa na maguo kibao lakini hakuna hata moja ambayo akivaa watu wanasema wow!

Faith S Hilary said...

nakubaliana na "anonymous" wa hapo juu..unaweza kuwa na nguo nyingi ila zote zikawa useless...so i think u hv both of those choices then unapangilia

Anonymous said...

kujua kuvaa si lazima uwe na nguo nyingi...if you have the essentials you unapangilia vizuri tu!!Most great designers would tell you to empty your closet and start with a little bit then work your way up to a list of a womans essentials to looking good

shamim a.k.a Zeze said...

jibu ni C Ili mradi uwe na choice nzuri na mpangilio mzuri wa nguo izo