Africana...............
Haya hilo ndio bazee ama batiki kama lijulikanavyo na wengi,hii ni style ya aina yake lakini inapendeza zaidikuvaliwa kwenye mabashi makubwa makubwa ili kujinafasi fresh,ila hili favi linagharimu sna katika maswala ya noti kama uonavyo pichani hiyo ni aina mojawapo na inategemeana na quality na kitambaa na nakshi,kama hilo hapo pichani linagharimu kuanzia $500-800 nakuendelea...
No comments:
Post a Comment