Sunday, 18 March 2007

Buckle imerudi!

Mikanda ya buckel imerudi kwenye fashion kama kawaida na imepata mashabiki lukuki,style hii ya mikanda inapenda kuvaliwa sana kwenye jeans...gharama yake ni kama $2-3 tu wala si ghali sana....!

No comments: