Mfuniko Wa Oscar!
Nadhani kwenye kila Awards popote dunia hapakosi mavazi ya kukata na shoka,basi hivyo ndivyo ilivyokuwa kwenye tunzo za Oscar 07,ambapo katika upande wa mwigizaji bora wa kiume mwaka huu aliibuka mwaafrika mwenye asili ya kimarekani Forest Whitaker hpo pichani akiwa katika picha ya pamoja na mzee wa mifuniko Diddy na John Travolta na wengi,embu tazama ubunifu wa mavazi kama hizo suti na aina ya vitambaa na magauni ya hao mabinti 2 hpo,mnasemaje wadau zangu?
1 comment:
nimekukubali!
Post a Comment