Al Capone Style!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hiyo ni Al Capone Style!Watu wameipa jina hilo kutokana na mkuu wa kundi mafia huko marekani aliyekuwa anajulikana Al Capone aliyekuwa anapenda kuvaa suti na kofia au pama ijulikanavyo na wengi.Hii style ni kali sana kwenye mitoko mitoko mikali kama hapo pichani ni mwanamziki maarufu NE-YO!
No comments:
Post a Comment