Saturday, 17 March 2007

Kijogooooooooooo!
Style ya kibwenzi au kijogoo imerudi kwenye fashion,kwa akina dada wenye sura nyembamba nadhani style hyo ni mwanana kabisa kwao,sababu kubwa ya style hii unaonekana funky kinoma kama pichani hapo ni mshindi wa American Next Top Models-Naima.Mnaona wakinadada huo mtindo mnauonaje?

No comments: