Saturday, 17 March 2007

Usimple...........!
Hivyo viatu vinajulikana zaidi kama driving shoes jina lake jingine ni simple shoes.ni viatu vizuri sana na confortable kinoma ukiwa katika matembezi ya kujilipua hasahasa ukiwa umejilipua na jeans na t-shirt,shati ama ukiwa umevaa formal outfits,gharama ya aina hii ya viatu inategemeana sana sana na lebo ya ubunifu lakini mara nyingi vinaanzia $50-350.wataliano ndio wanaongoza kwa utengenezaji wa viatu hivi.

2 comments:

Anonymous said...

mzee wa mavazi inaonekana unajua sana kuvaa?embu turushie mlipuko wako angalau mmoja!unatisha

Anonymous said...

Naona umechukua ushauri kuhusu clarks vs. driving shoes. By the way, ukipiga jeans na Polo shirt ni bomba au ukijidunda Khaki pants na shati ni bomba pia Ila formal haitakwenda kwani hapo Loafers na dress shoes(laced up) ndio zinatakiwa kufanya kazi. Ni sawa sawa uone mtu amevaa shati la cufflinks na jeans hivi haviendani kabisaa lakini watu wa hip hop huwa wanavaa tuu kwa sababu wamemuona fulani maarufu kavaa.
Critik.