Bongo Sooooooooo!
Kusema ukweli kwasasa bongo au nyumbani watu wanajilipua kinoma na aina mbalimbali za pamba kuanzia marika tofauti,kama hapo pichani wanaonekana Wasanii Wa Kizazi Kipya aua Bongo Fleva wakiwa wamepiga pamba si mchezo kama uonavyo pichani....Nadhani kutokana na dunia ilivyo kwa sasa au hata hapo zamani nadhani hakuna vazi linalopendwa au lenye washabiki wengi kama jeans na t-shirt....nadhani hpo hakuna ubisha na linamtoa kila mtu anayeingia kingi nalo...
No comments:
Post a Comment