Sunday, 18 March 2007

Will Smith .........!
Huyo ndio Will Smith nadhani wadau zangu mmemsoma na style zake kuanzia mavzi mpaka style za nywele! Hpo wadau mmeona suti na aina ya kitamba ni kama silk material flani ni noma sana hasa kwa mitoko ya usiku kujilipua nayo......pia kwa wale wapenzi wa kuweka wave vilevile nadhani mmeshapata somo pia....au mnasemaje?

No comments: