Sunday, 18 March 2007

Hapo Zamani.......!
Pichani ni Mwl Julius Nyerere enzi hizo baada ya uhuru,nadhani kwanini serikali yetu isingelifanya hili vazi liwe la taifa?mimi binafsi naona limetulia kinoma na linafaa sana kulirudisha upya au mnasemaje wadau?

No comments: