Monday, 19 March 2007

Wabongo Uk!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama kawa wabongo ughaibuni wanajilipua na pamba kama sio mchezo,suti na style za kila aina,nitakuwa nawapa milipuko kabambe ya wabongo mtoni wakiwa najilipua na mavazi ya kila aina.Naomba muniambie mziki sio mnene huo?

No comments: