Kwato hyo tna..................
Kwa akina dada nadhali hapo mtakuwa mmenipata fresh kutokana na huo mchuchumio hapo pichani!Ni style pia ya zamani ambayo imerudi kwenye market kwa kasi sna na kupata wanunuzi wazuri.Vinapendeza sna kuvala magauni,vimin,pensi za jeans n.k....Vpi warembo hapo nadhani mmenisoma kikamilifu...naomba mnitumie mitindo hata picha zenu binafsi mkiwa mmelipuka na mitindo tofauti tofauti ya mavazi kwa kutumia sheria.ngowi@gmail.com...
No comments:
Post a Comment