Monday, 19 March 2007

Kifriji Sio Sababu.............!
Vipi wadau zangu najua hapo mtapata somo zuri 2 kwamba siku hizi kuwa na kifriji sio sababu yakuvaa migauni au tenite kubwaa hakuna ki2 kama hicho siku hizi unakuwa na kibendi vilevile unajilipua na pamba kinoma kama hapo pichani juu.Hyo ni mwanamziki wa zamani Mel B wa kundi la Spice Girls hivi majuzi majuzi......

No comments: