Mti......!
Huo ndio mti kwa jina la mtaani hasahasa pale bongo au mchungwa,kiatu hiki kinaitwa timberland boots,ni kiatu maarufu sana ughaibuni na hata duniani kwa ujumla na waanzilishi wa kukitangaza ni hiphop artists wa unyamezini hasahasa hko US.Huwa kinapatikana kwa gharama ya $150 na viko vya rangi na style tofauti inategemeana na chaguo lako mnunuzi na ni poa sana kuvivaa kwenye jeanz au material yoyote ngumu ngumu.....mzee mzima gusto upo?
No comments:
Post a Comment